Bobbi Kristina akiwa na mama yake mzazi, Whitney Houston enzi za uhai wake.
FAMILIA za Bobby Brown na marehemu Whitney Houston zimekubaliana
kumwondolea Bobbi Kristina mashine inayomsaidia kupumua kesho, Jumatano
ili afe tarehe sawa na ile ambayo mama yake mzazi, Whitney Houston
alifariki.Mjukuu wa Bobbi, Cissy Houston alitoa wazo hilo la Februari 11 wakati wa majadiliano yaliyofanyika wikiendi iliyopita kati ya familia ya Whitney Houston na Bobby Brown kwenye Hospitali ya Chuo Kikuu cha Emory huko Atlanta nchini Marekani.
Maamuzi hayo yamefikiwa ili kuweka kumbukumbu ya mama na binti yake ili wote wapumzike kwa amani, familia ya Brown ilieleza.
Bobbi Kristina, 21, binti pekee wa Houston na mwimbaji Bobby Brown, amepoteza fahamu tangu alipokutwa bafuni hakiwa hajitambui Januari 31, mwaka huu.
SHTUKA! SOMA HABARI MPYA KALI ZA HIVI PUNDE!
===>>BOFYA HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!
===>>BOFYA HAPA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.