Thursday, February 12, 2015

Anonymous

BIG SOO: Ommy Dimpoz Aambulia Matusi ni Baada ya Kupost Tangazo la CCM

Katika hali inayoashiria kuwa ukikisapoti CCM ni kama Kosa kwa Baadhi ya watu. Msanii Ommy Dimpoz amepost postaz ya show ilivyoandaliwa na CCM huko marekani. Lakini kaishia kupata matusi na upungufu wa......

Like ambazo hupata elfu 3 mpaka 3500 kwa saa. Lakini post hii kapata 1800 tu.
Wengine Wamuonya Kutochangua Upande kwenye Siasa Kisije kikamtokea kama kilichomtokea Marlaw ambae alitumiwa na CCM wakati wa Uchanguzi 2010 na mpaka leo amepotea moja kwa moja mashabiki wamemtupa.

Baadhi ya COMMENTS kutoka kwa Mashabiki wake baada ya kuweka picha hiyo hizi Hapa:

lukasndayase omindipos ccm haifai mwanangu ww posti chadema mkuu
george_moses Wewe brother umechanganyikiwa kweli rafiki yangu toa hilo picha weka hata katuni 

mwanja60 Mmeisha anza kuhongwa na mafisad mulizen MALOW 

mikidadiyusuph happo umeyumba chama cha.wez hicho watz hatukitaki 

kileju umeishiwa mipango sasa unaanza kuji komba komba kama maisha yamekushinda rudi shamba ukafuge ngedere boya wwe 

doreen_don Supporting th dying horse!!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.