Thursday, December 22, 2016

Unknown

Ronaldo Ampiga Bao Tena Messi na Kuwa wa Kwanza Kuchukua Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA?!

Sakata linaloendelea hivi sasa nilile la Cristiano Ronaldo tayari mitandao mbalimbali inamuonesha nyota huyo mara 4 wa tuzo ya mwanasoka bora wa dunia ameshinda tuzo za mchezaji bora wa FIFA hii imekuwa baada ya kuchapisha machapisho mengi.

Mtikisiko umeanzia pale katika mitandao ya kijamii hata ule wa FIFA kuonesha kuwa wanamsifia nyota huyo, haswa kwa mafanikio yake, pamoja na hapo mtandao maarufu wa Sportskeeda nao unaonesha ushahuidi huo, huku wengi wakibisha na kulaumu uvujaji wa tuzo hiyo.

Ronaldo akishinda atakuwa mchezaji aliyepata mafanikio zaidi msimu huu pia atakuwa wa kwanza kuipata tuzo hiyo tangu irudishwe, atakuwa amewapiga chini waliokuwa washindani wake wa karibu Messi na Neymar.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.