Kanye West amesitisha ziara yake ya show ya Saint Pablo kwenye bara la Ulaya, mwakani.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, rapper huyo amesitisha ziara yake hiyo kutokana na hali yake ya kiafya iliyomtokea mwezi uliopita ambayo ilichangia alazwe hospitalini mjini Los Angeles kwa zaidi ya wiki moja.
Kanye alitakiwa atumbuize kwenye nchi mitatu za Ulaya kupitia ziara yake hiyo ikiwemo Paris, Uingereza na Ujerumani. Hata hivyo bado haijatajwa tarehe nyingine rasmi ambayo ataanza tena ziara yake hiyo.

Note: Only a member of this blog may post a comment.