Monday, November 7, 2016

Unknown

Breaking News: Aliyekua Spika wa Bunge, Samuel Sitta Afariki Dunia

Habari zilizotufikia chumba chetu cha habari na kuthibitishwa hivi punde zinaarifu kuwa
Aliyekua spika wa tano bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania na pia kuliongoza bunge la katiba, Mzee Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo muda wa saa 10.00 alfajiri huko Munich nchini Ujerumani alipokua kwa ajili ya kupata matibabu ya saratani ya tezi dume. 

Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde hapa hapa Kandili Yetu
Ungana nasi kwa ku-LIKE page yetu usipitwe na habari muhimu katika muda muafaka.
Kandili Yetu Inawapa Pole Wote Wanaoguswa na Msiba Huu!

NEW UPDATES:
Hizi Ndio  Salamu za Rambirambi za Rais Magufuli Kufuatia Kifo cha Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.