Thursday, October 6, 2016

Unknown

Hii Ndiyo Sababu Kuu Inayomfanya Mwanamuziki Diamond Platinumz Asishiriki Fiesta 2016

Hatimaye Diamond ametoa sababu ya kutopanda jukwaa la fiesta 2016,Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm Diamond amesema kuwa ndoa (mkataba) yake na Kampuni ya mawasiliano ya Simu ya Vodacom ndio sababu inayomfanya asishiriki Fiesta mwaka huu.
Wadhamini wakuu wa Fiesta ni Tigo hivyo kufanya hivyo kungeleta mgongano wa maslahii.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.