Baada ya mchekeshaji Stan Bakora kuirudia ngoma ya Baraka The Prince, mdundo wa ‘Nisamehe‘, Baraka ameiona video yenyewe na imeonekana hajapendezwa na ndio maana kwenye Instagram kaamua kumpa Stan Bakora onyo.
Maneno ya Baraka The Prince ‘Matani
ni mazuri ila yakizidi yanaweza kuleta matatizo… heshima ichukue nafasi
yake tafadhali mzee utani huu sijaupenda iwe mwanzo na mwisho tafadhali‘
Note: Only a member of this blog may post a comment.