Tuesday, September 13, 2016

Unknown

Rais Zuma Arudisha Pesa za Serikali Alizotumia Kukarabati Nyumba Yake Binafsi

AFRIKA KUSINI: Rais Zuma amerejesha pesa za umma alizotumia kukarabati nyumba yake binafsi, kiasi cha Dola za Marekani Milioni 23.
Sakata hili limewahi kutishia wadhifa wa Zuma, pale vyama vya upinzani vilipo shinikiza bungeni apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye ili ang'oke madarakani.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.