![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGTV-igY3uTvIZwV2DnV0W47wm3qIfX1tN-jZHu_S-kzwCWEH0EaHvPTCM7cY2eGCnQNecbDKbQiUreP5tBaMRPz3YxouL3646ii95wlO3nqPGxfxeZ0HZT46fxsaHZcq2Sp-Was3Vt8MT/s1600/DREVA+1.jpg)
Madereva
wetu 8 waliokuwa wametekwa na Waasi wa DRC-Congo, jana baada ya
kuokolewa wapo huru sasa hivi wanatazamiwa kurejea wakati wowote hapa
nyumbani.
Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Note: Only a member of this blog may post a comment.