Ni ukweli usiopingika kwa sasa muziki wa Bongo unazidi kutoboa kwenye nchi nyingi barani Afrika.
Wimbo wa Perfect Combo wa Joh Makini aliomshirikisha Chidinma umezidi kufanya vizuri kwenye redio na runinga za nchini Nigeria, na sasa umefanikiwa kushika namba tano kwenye Top 10 ya Naija FM na The Beat FM.
Note: Only a member of this blog may post a comment.