Thursday, September 1, 2016

Unknown

Izzo Bizness na YCEE (Nigeria) Warekodi Wimbo Pamoja


Ycee baada ya kurekodi wimbo na The Amazing, Jumatano hii jijini Dar 
Izzo Bizness na Abela Music wanaounda kundi la The Amazing, Jumatano hii waliingia studio kurekodi wimbo pamoja na msanii wa Nigeria, Ycee.

Watatu hao waliingia studio Jumatano hii jijini Dar es Salaam. Ycee alikuwa Dar kwa siku tatu kwaajili ya media tour na kukutana na wasanii wa Tanzania.
Done!!!thanks a lot hommie @iam_ycee its been a pleasure working with you #TheAmazing #ontothenextone,” ameandika Izzo kwenye picha akiwa na staa huyo wa Omo Alhaji.
Project hiyo imesimamiwa na producer Duppy. Ycee ameondoka leo kwenda Afrika Kusini.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.