Sallam anasema “Sisi hatukuambiwa kama Ali Kiba atakuwepo kwenye show kwa hio Ali Kiba alikuwa kwenye show kama Suprise, nashukuru muziki wetu wa Tanzania unazidi kukua, tulichofanya ni kitu mkataba wetu umesema tufanye , na tuliperform kwa saa mbili, hawakuandika Diamond is a Tanzanian artist, ila waliandika International Artist, kama alitangazwa Diamond pekee yake, akaja msanii mwingine pia hiyo ni sawa tu”
Hii ni hatua nyingine inayothihirisha kuwa labda hakuna beef kati yao na kwamba wote wanakubalika kama wasanii wa kimataifa…..
Note: Only a member of this blog may post a comment.