
Arsenal wakiwa katika uwanja wao wa Emirates wamekubali kipigo cha goli 4-3, licha ya kuwa na rekodi nzuri dhidi ya Liverpool kwa mechi zao 10 za mwisho walizowahi kukutana, Arsenal kwa takwimu ya mechi zao 10 za hivi karibuni walizowahi kucheza dhidi ya Liverpool walikuwa wameshinda mara 5, kupoteza moja na kutoka sare mechi 4.

Baada ya hapo mchezo ulikuwa wa Liverpool kupachika magoli kupitia kwa Philippe Coutinho 45 na 56, Adam Lallana dakika ya 49 na Sadio Mane dakika ya 63, baada ya hapo Arsenal walijaribu kusawazisha lakini waliambulia kupachika goli mbili pekee kupitia kwa Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 64 na Calum Chambers dakika ya 75.
Matokeo ya mechi nyingine ya EPL iliyochezwa August 14 2016
AFC Bournemouth 1 – 3 Manchester United
Note: Only a member of this blog may post a comment.