Muigizaji wa filamu mrembo wa Tanzania na muimbaji Salma Tamim aka Sabby Angel time hii ametuletea hii video mpya ya single yake iitwayo Inahusu, imetayarishwa na Adam Juma kutoka Visual Lab.
Ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako mkali huyo akipita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
Note: Only a member of this blog may post a comment.