Tuesday, August 16, 2016

Unknown

Baada ya Kumalizana na BASATA Nay wa Mitego Kaachia Hii Single Mpya….


Baada ya kuchukua headlines za kufungiwa kwa wimbo wake wa ‘Pale Kati’ kutokuwa wa kimaadili katika jamii, sasa basi time hii ameachia single nyingine mpya iitwayo Good Time aliyomshirikisha Tiki.
Unaweza ukabonyeza --->HAPA kuisikiliza single hiyo mpya!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.