Monday, July 11, 2016

Unknown

Video: MASANJA Mkandamizaji Alivyomvalisha Pete Mchumba Wake Huyu!

Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi Masanja Mkandamizaji Jumapili hii amemvalisha pete mpenzi wake mpya akijiandaa safari ya kufunga pingu ya maisha.

Masanja akiwa na mchumba wake aitwae Monica
Muigizaji huyo ambaye pia ni mchungaji, Jumapili hii akiongezana na ndugu zake wa karibu pamoja na wasanii wenzake katika kanisa moja, aliweza kumvalisha pete mchumba wake huyo aitwae Monica.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.