Tuesday, July 5, 2016

Unknown

VIDEO: Diamond Afunguka Sababu za Nyimbo Yake na P-SQUARE Kutokutoka!

Rais wa Wasafi,Diamond Platnumz ameweka wazi sababu ya kuchelewa kutoka kwa wimbo wake alioufanya dhidi ya kundi la wanii kutoka Nigeria P square ,kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond amefichua sababu hizo kuwa ni pamoja na kuangalia masuala ya kimaslahi.
 Hata hivyo Staa huyo mwenye tuzo zaidi ya 40 za kimataifa amewataka mashabiki wake kukaa mkaoa wa kula kwani bado ataachia track hiyo hivi karibuni
A video posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.