Saturday, July 2, 2016

Unknown

Mtoto Mzuri MALAIKA wa Bongo Muvi Afunguka Kuhusu MAPENZI!

MSANII wa Bongo Fleva, Diana Exavery ‘Malaika’ amesema kuwa kwa sasa miongoni mwa mambo ambayo hayafikiria kabisa ni kitu kinachoitwa mapenzi haswa ndoa na badala yake ameweka akili yake yote kwenye kazi yake ya muziki ili atoboe zaidi pamoja na masuala ya ujasiriamali.

Akipiga stori mbili tatu nasi, Malaika alisema kuwa jambo ambalo ameligundua ni kwamba si busara kuchanganya mambo mengi kwa wakati mmoja na kuongeza kuwa umri wake bado ni mdogo kukimbilia kwenye ndoa na anatakiwa kuandaa mustakabali wa maisha yake ya baadaye kwa sasa.

“Sifikirii kabisa kuhusu ndoa, yaani hata mshipa haunigongi, nawaza kazi tu na jambo lingine ambalo napenda kuliweka wazi ni hata kuwa kwenye uhusiano tu sihitaji. Hapa kazi tu ndiyo suala ambalo nimeliweka mbele kwa sasa,” alisema Malaika.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.