Thursday, May 19, 2016

Anonymous

Video: Giggy Money Adai Kuwa Hata Akiwa Hawara Kwa Matonya Hamna Shida!

Story ambazo zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Matonya kwa sasa anatoka kimapenzi na Giggy Money huku wakisikika kuwa ni kick ya ngoma yao ya Supu.
Katika mahojiano waliyofanya na ENewz wote wawili walishindwa kukubali moja kwa moja kuwa wameanguka pamoja kitandani au hawajaanguka kitandani lakini walibaki kusifia Supu huku Giggy Money akisema kuwa Matonya kwake ni zaidi ya mpenzi

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.