Thursday, May 19, 2016

Anonymous

VIDEO: Alikiba Kafika South Africa... Mambo Yake Mapya 7 Kutangazwa Kwenye Dili Jipya!


Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba amefika nchini Afrika Kusini ambako amekuja kutia saini kwenye dili zake saba mpya ambazo zitamchukua yeye na bongofleva kwenye hatua nyingine kubwa ya kimataifa, dili hizo zitatangazwa ndani ya saa 48 kuanzia leo May 19 2016, tazama hii video hapa chini

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.