Mbunge huyu wa Mbeya mjini ambaye ni mmiliki wa single mpya ya Freedom aliipost hii picha kwenye page yake ya Instagram na kuonyesha wazi ameshaachana na tofauti zilizokuwepo na kwa roho safi maisha yanaendelea bila beef >>> ‘Rapper/MP/ CEO / AUTHOR / BUSINESSMAN /INVESTOR ni kesho asubuhi Freedom to all media, freedom from beefs’
Friday, May 27, 2016
Mbunge wa CHADEMA, Mr II Sugu Kuhojiwa na CloudsTV Kwa Mara ya Kwanza Toka Amalize Tofauti
Mbunge huyu wa Mbeya mjini ambaye ni mmiliki wa single mpya ya Freedom aliipost hii picha kwenye page yake ya Instagram na kuonyesha wazi ameshaachana na tofauti zilizokuwepo na kwa roho safi maisha yanaendelea bila beef >>> ‘Rapper/MP/ CEO / AUTHOR / BUSINESSMAN /INVESTOR ni kesho asubuhi Freedom to all media, freedom from beefs’
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Filed Under:
WASANII
on Friday, May 27, 2016
Note: Only a member of this blog may post a comment.