Friday, May 27, 2016

Anonymous

AUDIO: Meneja wa ALI KIBA Aelezea Kwa Undani Faida za Alikiba Kwenye Mkataba na Sony

Mwimbaji wa bongofleva Tanzania Alikiba alijaa kwenye headlines baada ya kusaini mkataba mpya na kampuni kubwa ya muziki ya Sony Johannesburg South Africa May 19 2016, Meneja wake aitwae Seven amekaa kwenye Exclusive na Millard Ayo na kuelezea kwa undani vitu atavyopata Alikiba kwenye huo mkataba, bonyeza play hapa chini:
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.