Thursday, May 5, 2016

Anonymous

Baada ya Bunge Kukatazwa Kuonyeshwa Live... Baadhi Waamua Kujirekodi Kwa Kutumia Simu


From @mangekimambi_ - Omg this is sooooo sad jamani... Eti nchi yetu ndo imefikia hapa, Mbunge akiwa anachangia bungeni mwenzie inabidi amrekodi Kwa simu then waposti kwenye social media ndo wananchi wajue michango Yao.... This is really sad! Hivi Kweli Raisi wetu asiependa uonevu wa watanzania anayaona haya???

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.