Sunday, April 3, 2016

Anonymous

WEMA SEPETU Kwishnei!


Unaikumbuka ile Range Rover Evoque 504 ambayo Wema Sepetu alijizawadia kwenye birthday yake mwaka jana?
Well, inaweza kuwa yako iwapo unaweza kuwa na takriban shilingi milioni 200 za kumwaga sababu TRA wanaipiga mnada!

Picha hapo juu Range Rover Evoque ya Wema Sepetu ikiwa kwenye yard za TRA ikipigwa mnada.

TRA wanaishikilia gari hiyo kwa sababu iliingizwa nchini bila kulipiwa kodi na kwakuwa ushuru wake ni takriban nusu ya gharama yake, Wema ameshindwa kuikomboa.
Kuna tetesi ziliwahi kuandikwa kuwa gari hilo hata hivyo alipewa kama zawadi na pedeshee wa Kongo anayedaiwa pia kuwahi kuwa na uhusiano na Jacqueline Wolper.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.