MUUZA nyago Bongo, Tunda Sebastian amesema miongoni vya vitu ambavyo anajiona yuko huru kuvifanya ni kupiga picha za kihasara kwani anachukulia kama hobi yake.
Tunda alifunguka hayo baada ya kuulizwa
sababu za yeye kupenda kupiga picha hizo ambapo alisema, yeye haoni
tatizo katika hilo kwani hata wazazi wake walikuwa wakimpigia kelele
lakini sasa wametulia.
“Huwezi kumjaji mtu kwa picha, sioni
tatizo kwani hata ‘home’ wanajua kuwa hiyo ni hobi yangu,” alisema Tunda
huku wengi wakimponda kwa tabia hiyo chafu inayokwenda kinyume na
maadili ya Kitanzania!
Kuziona picha zake na video hizo follow akaunti hii intagaram===>>https://goo.gl/zwbkyo
Note: Only a member of this blog may post a comment.