Saturday, April 9, 2016

Anonymous

PICHA 2: Gardner G. Habash.. April 3 Mkataba Mpya CloudsFM , April 9 Usafiri Mpya wa Nguvu!

Wiki hii habari ya town ni Mtangazaji hodari Gardner G. Habash kurejea kutangaza CloudsFM aliyoacha kuifanyia kazi December mwaka 2010 ambapo baada ya shangwe za kurejea kwake mjengoni, good news zimeendelea.
Kwenye mahojiano na Zamaradi Mketema wa TAKE ONE CloudsTV, Gardner alisema hawezi kuweka wazi mshahara wake mpya baada ya kusajiliwa tena CloudsFM ila alikiri kwamba dau limepanda na leo April 9 2016 kathibitisha kwamba mkataba mpya pia umeambatana na mengine likiwemo hili gari aina ya Land Rover Discovery.
captain 2
Captain 1

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.