Sunday, April 3, 2016

Anonymous

Skendo ya Kujaladia MAKALIO... Rubby Afunguka!

MWANADADA anayesumbua kwenye gemu, Hellen George ‘Ruby’ amesema wale wanaodhani kila akipanda jukwaani kile ‘kijungu’ kinachoonekana ni cha kujaladia, wamebugi.

Ruby alisema, yeye alivyo anajikubali na wala hawezi kusumbuka kutafuta makalio feki kwani kufanya hivyo ni kupoteza muda wake bure. “Hao wanaosema najaladia makalio wamekosa la kuongea, mimi siyo mtu wa mambo hayo, najikubali sana kwa jinsi nilivyoumbwa, naanzaje sasa kujiongezea shepu hewa,” alisema Ruby

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.