Sunday, April 3, 2016

Anonymous

FID Q Ajibu Tuhuma za Kutoka Kimapenzi na Salama Jabir wa Mkasi TV

Kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita kulikuwapo na tetesi kuwa msanii wa Hip Hop, Fid Q yupo katika mahusiano ya kimapenzi na mtangazaji wa kipindi cha Mkasi, Salama Jabir na wana mipango ya kufunga ndoa.

Fid Q amejibu swali kama ni kweli aliwahi kutaka kumuoa Salama kwa miaka kadhaa iiiyopita wakati alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha Ala za Roho kinachoruka kupitia Clouds Fm na kukanusha taarifa hizo kuwa siyo sahihi.
“Sio kweli … hizo stori ni za uongo,” Fid Q alimjibu mtangazaji wa kipindi hicho, Diva na baada ya hapo aliingiza mada nyingine na Diva kuachana na swali hilo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.