Friday, April 15, 2016

Anonymous

8 PICHAZ: Kama Ulimiss... Mr BLUE Kafunga Ndoa na Mama Watoto Wake WAHEEDA

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Kheri Sameer ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Mr Blue, leo April 14 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kupost picha katika mitandao ya kijamii zikimuonesha akiwa kafunga ndoa na mama wa watoto wake Waheeda.

Mr Blue amefunga ndoa na Waheeda ambaye amezaa nae watoto wawili wa kwanza akiwa wa kiume na wa pili akiwa wa kike, Mr Blue amefunga ndoa kimya kimya bila watu wengi kufahamu na inatajwa kuwa asilimia kubwa ya waliohudhuria ni ndugu wa familia na baadhi ya marafiki.







USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.