Saturday, March 5, 2016

Anonymous

Waziri wa MAGUFULI, January MAKAMBA Katika Kashfa Nzito ya Kifisadi.. MANGE Kimambi Afichua Kila Kitu!

Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la kujenga port Bagamaoyo.
Jaribu kupitia Instagram yake Kusikiliza Sauti zao:
Hiki haa chini ndicho alichokipost Mange Kimambi;

Chanzo:Mange Kimambi Insta Page

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.