Sunday, March 6, 2016

Anonymous

Utumbuaji Majipu: Inashangaza Mpaka Sasa Alietumia Document Fake Kuzuia Uchaguzi wa Meya Dar Hajasimamishwa Kazi


Inashangaza sana hii serikali ambayo tunaambiwa imedhamiria kurejesha nidhamu ya watumishi wa umma mpaka sasa haijamsimamisha kazi mtumishi alietumia document isiyostahili(fake) ya Mahakama kuzuia uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar-es-salaam ili nae apishe uchunguzi kama wengine.
Wacha tusubiri lakini nimekumbuka msemo wa Kiswahili usemao: "njia ya muongo ni fupi."

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.