Saturday, March 12, 2016

Anonymous

Wimbo wa Nay wa Mitego Shika Adabu Yako Wavuka Mipaka... Mwanamuziki Amani wa Kenya Adai Anaupenda Sana..Asema Haya





Shika Adabu Yako ya Nay wa Mitego inaweza ikawa imefungiwa na BASATA, lakini imefanikiwa kuwafikia watu wengi ndani na nje, shukrani kwa mitandao ya kijamii.
Na sasa muimbaji wa Kenya, Amani, amedai kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa wimbo huo. 
“Naipenda sana,” alisema Amani kwenye kipindi cha Mseto cha Radio Citizen
Amesema mstari uliomchekesha zaidi ni ule wa Ommy Dimpoz japo alisema staa huyo wa ‘Wanjera’ achukulie poa tu aliyoambiwa.
Amani anadai mstari mwingine anaoupenda ni ule Nay anasema wasichana wa mjini siku hizi hawavai nguo za ndani.
Mtazame mrembo huyo akiungolea wimbo huo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.