Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Saturday, March 12, 2016
Anonymous
ALI KIBA na Sauti Soul Wanakuletea Video Mpya ya Wimbo Walioshirikiana Unaitwa Unconditionally Bae...Ali Kiba Kafunika Balaaa
Mabibi na mabwana Sauti sol kutoka Kenya wametuletea video ya wimbo wa Unconditionally bae waliyomshirikisha Alikiba kutokea Tanzania Unaweza ukaitama hapa chini nimekuwekea mtu wangu wa nguvu
Note: Only a member of this blog may post a comment.