Mtu wangu wa nguvu kama wewe ni mpenzi wa burudani basi hii isikukose, millardayo.com inakupa fursa ya kusikiliza 255 ya March 10 2016 kutokea Xxl ya Clouds FM, stori ambazo zimepata airtime ni pamoja na hii ya Nay wa Mitego.
Nay wa Mitego ameulizwa kwanini hakuwadiss Diamond Platinumz na Alikiba kwenye nyimbo yake ya Shika adabu yako, je anaogopa team za wawili hao au?, haya ndio majibu ya Nay wa Mitego ‘Nilijua
watu wataongelea hili na hata ukiangalia kwenye comment utaona watu
wanauliza mbona sija muimba rafiki yangu Diamond Platinumz na ana
skendo nyingi, sitaki kufanya kitu ambacho kila mtu anacho kichwani
kwake‘>>>Nay wa Mitego
Stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini….
Note: Only a member of this blog may post a comment.