Monday, March 28, 2016

Anonymous

PICHA ZA MODEL ANAYEONGELEWA ZAIDI GIGI HADID,HUYU NDIYE MPENZI WAKE!


Mwanamitindo anayeongelewa zaidi kutokana na kazi nyingi anazofanya na kuchaguliwa kuwa jaji wa kipindi cha kusaka wanamitindo cha America’s Next top Model ‘Gigi Hadid’ mwenye miaka 20amekuwa wazi hivi karibuni kuhusu mahusiano yake na rnb na pop staa Zayn Malik ’23’ kama wanavyoonekana kwenye picha hizi wakitoka kwenye club ya usiku mjini New York jana.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.