Mkali wa hit song shika adabu yako Nay wa Mitego adai video ya Shika adabu yako ndio inayoongoza kwenye hip hop
Rapper wa Tanzania Nay amefunguka na kusema kuwa haimpi shida kuona video yake ya Shika adabu yako haichezwi kwenye vituo vya Tv na kudai kuwepo online tu inatosha.
Nay amesema video ya wimbo huo ambao ulifungiwa na BASATA licha ya kutochezwa kwenye vituo vya Tv imefika pale alipotaka kwani anaamini ndio video ya Hip Hop iliyoangaliwa zaidi kuliko zote kwa muda mfupi.
“Huu wimbo BASATA waliufungia japo sikupata rasmi ndio maana nikaachia video yake Youtube tu ili nisiwaangushe mashabiki zangu,lakini inafanya poa sana,huenda ikawa video ndio video ya hip hop iliyotazamwa zaidi kwa muda mfupi na imefika matarajio yangu” alifunguka Nay wa Mitego.

Note: Only a member of this blog may post a comment.