Tuesday, March 8, 2016

Anonymous

Mwanamke Aliyetoroka Kwa Mama Mkwe Musoma Kwenda Dar Kumtafuta Mama Yake Mzazi Yameibuka haya..(+Audio)

March 8 2016 siku ya Wanawake  Dunia kupitia Hekaheka ya Clouds FM leo Geah Habib ametuletea Hekaheka inayomuhusu mwanamke aliyetoroka musoma kwa tuhuma za kutaka kukeketwa na Mama mkwe wake baada ya Mume wake kufariki ndipo alipofunga safari kuelekea dar kwa ajili ya kumtafuta Mama yake mzazi. 

Mazungumzo yake na Geah Habib yalikuwa kama hivi, ‘Baada ya Mama Rozi kunitumia nauli kutoka Mwanza akaniambie nije nifanye kazi kwasababu mtoto alivyo ugua nililazwa, nikalazwa nikakosa mahitaji maana nikiwaga na matatizo namwambiaga Mama Rozi ndio akaniambia kwanini usije huku unisaidie kazi mimi ni kasema sawa‘>>>Mama aliyetoroka 

Kuna taratibu za kumshitaki mtu aliyetoa taarifa za uongo kwa kituo cha Polisi anaweza akashtakiwa Jamuhuri ikasimama akapelekwa Mahakamani, alikuja nashida alikuwa amekimbia Tarime kwa tuhuma za kutaka kukeketwa na tayari mtoto alikuwa ameshaumia na alikuwa anamtafuta Mama yake‘>>>Prisca Komba Polisi toka kituo cha Osterbey
Stori kamili bonyeza Play hapa chini nimekuweka…..

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.