Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Thursday, March 10, 2016
Anonymous
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU MWAKA WA KWANZA AJICHINJA KOO KISA WIVU WA MAPENZI
UGANDA: Kijana wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu ajikata koo kisa wivu wa mapenzi. Alimpigia simu mpenzi wake, ikapokelewa na mwanaume. -Marafiki zake walifanikiwa kumkimbiza hospitali, madaktari wanapambana kuokoa maisha yake.
Note: Only a member of this blog may post a comment.