Wednesday, March 16, 2016

Anonymous

List ya Madaraja Makubwa Dar Es Salaam Inazidi Kuongezeka, Nimenasa Pichaz za Ujenzi wa Daraja la Buguruni


Dar Es Salaam ni moja kati ya miji 10 inayoongoza kwa kuishi watu wengi barani Afrika, serikali nayo imeamua kuboresha miundombinu ili kuendana na idadi ya watu waliopo. Najua wengi wetu tumezoea kuona daraja la Manzese ndio pekee lilikuwa kubwa kwa ajili ya kivuko cha watu kabla ya daraja la Kimara na Ubungo.

Usiku wa March 15 nilipata nafasi ya kupiga picha za ujenzi wa daraja la Buguruni, ambalo nalo linatajwa kujengwa kwa ajili ya kivuko cha watembea kwa miguu, kwani idadi ya watu eneo hilo imekuwa kubwa. Hizi ni pichaz za ujenzi huo.





 
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.