Thursday, March 17, 2016

Anonymous

Hii Ndio Sababu Iliyomfanya Diamond Amchukue Raymond Ajiunge WCB..Ipi Hiyo?

Msanii mpya kwenye lebo ya WCB,RayMond amefunguka na kusema kuwa alikutana na Diamond kupitia Maromboso ambaye alitaka atoe maoni yake kwenye wimbo mmoja wa Diamond.

RayMond amesema kuwa kadri alivyokuwa akifanya kazi na Diamond kwa kutoa mawazo yake ndipo Diamond alipoona kuwa yeye anaweza hivyo kumwomba Babu Tale amsadie kwa kuwa Tip Top kuna wasanii wengi.
“Diamond alimwambia Tale kwamba anataka kunisaidia,kwa sababu Tip Top kuna wasanii wengi,na WCB kuna msanii mmoja ambaye ni Harmonizer,kwa hiyo aliamua kunichukua kwa sababu aliona nina kitu”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.