Monday, March 7, 2016

Anonymous

Full Video: Mapokezi ya RICHIE Alivyotua Airport Dar na Tuzo Kutokea Nigeria!


Hii ilikuwa ni Usiku wa March 5 ambapo staa wa Bongo Movie Single Mtambalike maarufu kama Rich Richie alivyotua Airport Dar es salaam baada ya kushinda tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, Single Mtambalike aliibuka mshindi akiwepo Elizabeth Michael ‘Lulu’ ingawa hakuongozana katika safari ya kurudi pamoja na Richie.
Full video iliyonaswa na AYO TV unaweza kuitazama hapa…. 
Watanzania Lulu na Richie walivyoshinda Nigeria kwenye Africa Magic Viewer’s choice Awards..

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.