Monday, March 7, 2016

Anonymous

Breaking News: Chama Cha Wananchi CUF Chatoa Tamko Rasmi Kuhusu Taarifa za MAALIM SEIF Kuwa Mahututi!

Chama cha wananchi CUF kimekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni kuwa katibu mkuu wake Maalim Seif Shariff Hamad kuwa amelazwa hospitali yupo mahututi. Kwa mujibu wa msemaji wa chama hicho ametoa taarifa kuwa Maalim ni mzima na hajalazwa! Taarifa zaidi endelea kufuatilia hapa hapa katika mtandao huu.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.