Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Saturday, March 5, 2016
Anonymous
CCM Yawafukuza Uanachama Wananchama 25 Kwa Madai ya Kukisaliti Chama Kipindi Cha Uchaguzi Mkuu 2015
Chama cha Mapinduzi(CCM) Kigoma, chawafukuza uanachama wananchama 25 kwa madai ya kukisaliti chama kipindi cha Uchaguzi mkuu 2015.Uamuzi huo wa kuwafuta uanachama ulitolewa na kikao cha halmashauri kuu cha Mkoa kilichofanyika tarehe 2 Machi mwaka huu.
Note: Only a member of this blog may post a comment.