Monday, March 7, 2016

Anonymous

Moto Wateketeza Mabweni Mawili Katika Shule ya Sekondari ya IYUNGA Jijini Mbeya Leo Mchana!

Mabweni mengine mawili ya shule ya Sekondari Iyunga iliyoko jijini Mbeya yameteketea kwa moto mchana huu.
Hii ni mara ya pili sasa moto kuzuka katika shule hiyo .Wiki kadhaa zilizopita moto ulizuka na kuteketeza bweni moja la Mkwawa(‪Pichani‬) huku sababu zikielezwa ni hitilafu ya umeme kutokana na uchakavu wa miundo mbinu shuleni hapo.
Jeshi la Zimamoto liko eneo la tukio kuukabili moto huo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.