Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Saturday, March 12, 2016
Anonymous
Baba Mzazi wa LULU Yupo Tayari Kupokea Mahari... Adai Muda Umefika Sasa wa Mwanawe Kuolewa
Baba yake Lulu ameongea na E-newz na kutufahamisha bado hajapokea mahari ya mwanae na yupo tayari kupokea mahari, hivyo E-news imeamua kuutoa ujumbe huu wa baba Lulu. Huku wengi wakidhani kuwa ujumbe huo unaweza kumfikia mtu mzima Majey ambaye kwa sasa wapo kwenye mahusiano na Lulu.
Note: Only a member of this blog may post a comment.