Sunday, March 6, 2016

Anonymous

AJALI: Lori Laacha Njia, Lapinduka Dar [+PICHAZ]

Lori lenye usajili wa namba T797 BTH likiwa limebeba kontena limeacha njia na kuingia katika mtaro katika barabara ya Mandela karibu na Uwanja wa Taifa jijini Dar mchana wa leo.

PICHA: DENIS MTIMA/GPL

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.