Saturday, March 12, 2016

Anonymous

10 PICHAZ: Ubovu wa Barabara za Dar, Shuhudia Vyombo Vya Usafiri Vinavyopata Tabu Kupita

Leo March 11 ripota wa millardayo aliamua kuzunguka katika baadhi ya maeneo ya Dar es salaam na kuangalia baadhi ya barabara zilizoharibika na kusababisha kero ya usafiri kwa watumiaji wa barabara hizo, hapa tayari ameshakusogezea hizi 10 ambazo unaweza kuzitazama na mwishoni ni rukrsa kuweka maoni yako kuhusu barabara hizi.
AW1A7822
.
AW1A7823
Hapa ni Mwananyamala
AW1A7851
Pembeni ya soko la Mwananyamala Dar, barabara ikiwa imeharibika
AW1A7852
.
AW1A7859
Eneo hili ni Makumbusho, barabara imeharibika
AW1A7876
.
AW1A7878
Hapa ni Makumbusho Dar, maji yamejaa barabarani
AW1A7880
.
AW1A7883
Bajaji ikiwa imekwama katika maji
AW1A7888
Gari likijaribu kupita katika maji katika eneo la Makumbusho
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.