Sunday, February 28, 2016

Anonymous

Yuko Wapi Comrade KINANA? Je, MAGUFULI Amemsahau... Namkubali Sana Jamaa Katika Makada CCM Waliopambana Kujenga Chama


  Sijamsikia kwa kipindi kirefu kidogo na sio kawaida yake, na hata zile safari za ujenzi wa chama zilizoandaliwa hivi majuzi sizisikii tena kama wamekwenda au lah, mwenye taarifa atupatie maana alisaidia sana "kukijenga chama" huko mikoani kiasi kwamba kura za Chama "ziliongezeka" kwa kiasi kikubwa..Je Magufuli Kamsahau ama Vipi?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.