Idara ya uhamiaji Dar imeendelea na Oparesheni ya kuwasaka na kuwakamata wale wote wanaoishi nchini bila kuwa na vibali maalum, hadi sasa tayari kuna ripoti ya watu waliopatikana na hatia hii, lakini kubwa zaidi pia kuna hili huwenda ikawa haijakufikia ya biashara haramu inayoendelea ya watu kuuzwa Uarabuni..?
Full stori nimekusogezea kwenye hii video hapa chini..
Note: Only a member of this blog may post a comment.