Sunday, February 14, 2016

Anonymous

MAAJABU: Kutana na Pichaz za miji 10 ya Kuvutia Iliyojengwa Juu ya Mawe na Miinuko Duniani, Safari Hii Afrika Namba 1


Mtu wangu wa nguvu bado nakusogezea ubunifu na vitu mbalimbali ambavyo kwa nchi za wenzetu hupendelea kufanya, hii ni miji iliyojengwa kwa ustadi mkubwa sehemu mbalimbali duniani. Imenivutia mtu wangu nikaona nikusogezee ustadi wa hii miji iliyojengwa kwenye miinuko ya mawe, kwa harakaharaka kama pangekuwa hapajajengwa ilikuwa ni ngumu kwa mtu kukubali kuchukua kiwanja hata kama angepewa bure. Hizi ni pichaz za miji 10 iliyojengwa kwenye miinuko ya mawe. Hii ni list kutoka worldtoptop.com
10- Azenhas do Mar, Ureno

9- Cinque Terre, Italia

8- Tropea, Italia

7- Cuenca, Hispania


6- Positano, Italia

5- Rocamadour, Ufaransa

4- Polignano a Mare, Italia

3- Ronda, Hispania


2- Kijiji cha Haid Al-Jazil- Wadi Dawan, Yemen

1- Constantine, Algeria


USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.